
Mwongozo kamili kwa maafisa mauzo wapya wa Mernphis Tanzania: elewa huduma ya usajili, faida kwa wateja, malengo ya mauzo na jinsi ya kufanikiwa kazini.
Karibu sana katika timu ya Mernphis Tanzania. Nyinyi ndio uti wa mgongo wa mafanikio yetu. Huduma yetu ni ya usajili (subscription-based) na bado ni mpya hapa Tanzania, jambo linalotupa nafasi ya kuwa waanzilishi wa mapinduzi haya ya biashara.
Kama afisa mauzo, jukumu lako kuu ni kutembelea na kuwashawishi wamiliki wa biashara kujiunga na Mernphis ili waweze kuuza huduma au bidhaa zao kwa mfumo wa usajili wa kila wiki au kila mwezi.
Mernphis ni jukwaa la kidijitali lililoundwa kwa ajili ya masoko ya Afrika, likiwawezesha wajasiriamali kuanzisha na kusimamia biashara za usajili kwa urahisi.
Kwa kutumia Mernphis:
Mfumo huu tayari umefanikiwa duniani:
Netflix: Zaidi ya dola bilioni 8 kwa mwezi Spotify: Zaidi ya dola bilioni 1.2 kwa mwezi
Hii inaonyesha nguvu ya biashara za usajili.
Badala ya kuuza mara moja, biashara hupata pesa kila mwezi.
Mfano:
Wanachama 100 Γ TSh 20,000 = TSh 2,000,000 kwa mwezi Wanachama 1,000 = TSh 20,000,000 kwa mwezi
Mteja mmoja anaweza kuleta zaidi ya TSh 2,400,000 ndani ya miaka 10.
Automation ya malipo na kumbusho huokoa zaidi ya masaa 20 kwa mwezi.
Biashara zinazotumia Mernphis: Huongeza mapato mara 3 ndani ya miezi 3
Malipo ya simu huongeza malipo yaliyokamilika kwa 67% Hakuna teknolojia ngumu
Mernphis inafaa kwa biashara zote zinazotoa huduma au bidhaa zinazoweza kuuzwa kwa usajili, kama:
Tutatoa:
Pamoja, tunaenda kubadilisha namna biashara zinavyopata mapato hapa Tanzania.
Karibu Mernphis β pamoja tutafanikiwa.
Benjamin Steven Project Manager, Mernphis Tanzania π 0795 523 908